HOSPITAL BAG KWA MAMA MJAMZITO

Hospital bag kwa mama mjamzito, hili ni bag maalumu kwa ajil ya kwenda nalo hospitalin mara baada ya kupata uchungu au kuona dalili za uchungu .Bag hili huwa na vitu kwa ajil yako na mtoto pia,hakuna begi maalum ni bag lolote ambalo mama utaliandaa na kuweka vifaa vyako na vya mtoto ndio hospital begi  lako.

Baadhi ya vitu ambavyo mama unatakiwa kuwa navyo ni:
✔Maternity pad au Pamba ✔Underware ✔Gauni mbil au moja
✔slippers ✔Mswaki na dawa ya meno ✔Sabun ya.kunawa mikono mara bada ya kutoka labour kabla hujamshika mtoto ✔Vitenge pair moja au mbili ✔Khanga za kumfunika mtoto mara baada ya kuzalia khanga hizo siziwe mpya ziwe zilizotumika kwani mpya huweza mletea mtoto mafua kwa vumbi lake ✔Kitabu chako cha Dini mfano Bible yako ✔camera kwa wapenda picha ✔Simu yako, chupa ya chai ya rangi ,matenity bra, kifaa cha kuwekea nguo chafu unaweza kuwa mfuko au ndoo.

✳Vitu vya muhimu kwa mtoto ni  ✔Mafuta ya kumpaka mtoto ✔Nepi lain au diper ✔Babyshoo ya kumbebea mtoto ✔Vinguo viwil au vitatu vya mtoto ✔ visoksi vya mtoto ✔vikofia vya mtoto

Kama mama unajifungulia hospitali ambayo umeambiwa uende na vifaa vyako vya kujifungulia  navyo utaongezea hapo

No Comments Yet

Leave a Reply

Your email address will not be published.