NATURAL ANTIOBIOTIC KWA MAMA ANAYENYONYESHA

Mama unayenyonyesha unatakiwa uepuke Sana matumiz ya dawa kipindi unanyonyesha kwani kuna baadhi ya dawa ambazo hupunguza uzalishaji wa maziwa  pindi utumiapo,pia unapokunywa dawa kuna kiasi huenda kwenye maziwa na mtoto hupata anaponyonya

Kuna msemo unasema” let your food be your medicine”and your medicine be you food”,Unapokula vyakula ambavyo ni natural antibiotic vitakusaidia kutokuumwa kipind chote cha kunyonyesha na hivyo kupunguza uwezekano wa mtoto kupata dawa unazotumia
Mama unayenyonyesha jitahidi kufanya yafuatayo ili kupunguza kuumwa umwa:


Kunywa maji ya kutosha,maji niuhim sana kwa afya ya binadamu zaid ya 47%ya mwil wa binadamu ni maji ,maji pia yanatakiwa kwa wing kwa mama anayenyonyesha kwani zaid ya asilimia 50% ya maziwa ya mama ni maji
Hivyo unatakiwa unywe maji walau Lita tatu au zaidi kwa siku ili mtoto apate na wewe ubaki nayo kwa ajil ya mwili wako.

Tumia kitunguu swaumu ,kitunguu swaum kina kaz kubwa mwilin kwan ni natural antiobitic pia huzuia magonjwa mengi, Kitunguu swaum pia husaidia kuzalisha maziwa ,Matumiz yake tafuna meza punje 2-4 asubuhi usitafune vimenye vikate Kate meza na maji ya kunywa,ukiweza kunywa kabla ujala kitu ni vizur zaidi
Angalizo kama unatatizo la pressure ya kushuka usitumie kwani husababisha pressure kushuka zaid

Penda kutumia asali ,asali ni  kinga nzur ya mwil kwani hutengenezea mwili immunity(kinga)

Tumia Fermented food, kama Mtind na vingine vyakula hivi hulinda mfumo wa tumbo na kusaidia digestion ya chakula kirahisi

Penda kutumia tangawizi husaidia kutunza mwili pia ni nzuri kwa kuongeza maziwa

Lala mazingira salama kuepuka malaria

 

 

No Comments Yet

Leave a Reply

Your email address will not be published.