UPANDE UPI NI SAHIHI KULALA KWA MAMA MJAMZITO


Upande upi ni salama kulala muda mwingi kwa mama mjamzito?

Mimba inapofika week 16 mama unatakiwa kuwa makin na upande upi unatumia kulala muda mwingi.Unapokuwa mjamzito unatakiwa ulale kwa ubavu kitaalamu wanaita( SOS) sleep on your side. Ubavu au upande unaotakiwa ulale sana ni wa kushoto Ila kwa kuwa huwez lalia upande mmoja tuu utakuwa unalalia kulia na kushoto

Kwanin ulale kwa ubavu ?
Kulala kwa ubavu husaidia damu na chakula kwenda kwa placenta kirahisI na kumfikia mtoto kirahis hivyo kumfanya apate chakula na hewa (oxygen) kirahis ambavyo anahitaji kwa ukuaji wake

Kwanin usilale kwa mgongo?
Unapolala kwa mgongo uzito wa uterus hukandamiza blood vessel na kufanya damu isizunguke vizuri kutoka kwenye moyo kwenda kwa mwili, na mwilin kwenda kwenye moyo hivyo kusababisha tatizo la low blood pressure.
Kulala kwa mgongo pia husababisha kukosa pumzi
Kuumwa kwa mgongo
(Digestive problem) matatizo ya mmengenyo wa chakula kuzuia kudigestion kufanyika vizuri

MAMA JITAHID KULALA KWA UBAVU HASA BAADA YA WIK 16 YA UJAUZITO


 

No Comments Yet

Leave a Reply

Your email address will not be published.