MTOTO KUKATAA KUNYONYA

Mtoto kukataa kunyonya ni hali ambayo mtoto aliyekuwa ananyonya vizur,ila baada ya muda anakataa kunyonya ,hapa siongelei watoto waliotoka kuzaliwa Bali watoto ambao Tayar walikuwa wananyonya,

Mambo yanayosababisha mtoto kukataa kunyonya:

Maumivu makali wakati wa kunyonya kutokana na mtoto kuwa na infection kwenye sikio.

Mtoto kushidwa kupumua vizur wakati ananyonya kutokana na mafua kumbana .
Mtoto hapati maziwa ya kutosha kutoka kwa mama hapa mama unaweza kuwa unatumia dawa zinazozuia maziwa kuzalishwa kwa wingi,mama kubadilisha mlo aliokuwa anakula, kutokunywa vimimika vya kutosha, Mama kuanza kupata siku zake tena pia wakat mwingine hupunguza , mama kupata ujauzito .

Mtoto kutopata utulivu wa kutosha wakati wa kunyonya .
Matiti kuwa na uvimbe hivyo mtoto kushidwa kunyonya vizuri.

Mtoto kuanza kuota meno.
Kubadilika kwa harufu ya mama hii inatokana na mama kubadil mafuta ,lotion au sabuni.

Nin kifanyike au njins ya kumsaidia mtoto

Mama. endelea kupump maziwa kwa kutumia mkono au machine ili mtoto aendelee kupata maziwa unaweza mpa kwa kijiko au chupa, pia na wewe uzalishaji wako wa maziwa uendelee.

Endelea kumpa mtoto hivyo hivyo huku unabadil breastfeeding position.

Mnyonyeshe mtoto sehem yenye utulivu.

Skin to skin contact, mama nyonyesha mtoto huku kifua chako na cha mtoto kikiwa  hakina nguo ,kwani gugusana kwa ngozi husaidia kuamsha hali ya mtoto kuanza kunyonya tena.

No Comments Yet

Leave a Reply

Your email address will not be published.