CHOO CH A WATOTO WACHANGA

Mtoto anapozaliwa choo chake huwa cheus na kilichoshikana(sticky). Baada ya siku tatu hadi nne choo  huwa cha kijani .)

Baada ya siku nne had tano huwa cha njano au cha njano yenye rangi ya kijani( green) kwa mbali kwa watoto wanaonyonya tuu maziwa ya mama pekee (breastfeeding baby)

Watoto wanaonyonya kuna wanaopata choo kila baada ya kunyonya na wengine wanapata Mara moja kwa week au Mara mbili kwa week watoto wanatofautiana.

Choo cha watoto wanaotumia formula huwa ni cha kahawia( brown)  yellow – brown  au green- brown .

Mtoto anatakiwa apate choo ndani ya masaa 48 mara baada ya kuzaliwa kama hajapata mwambie Doctor wako kwan sio dalili nzuri kwa mtoto. Mtoto anapopata choo ndani ya masaa 48 mara baada ya kuzaliwa hutoa uchafu wote alikula kupitia amniotic fluid na vingine vingi.
DALILI ZA HATARI KATIKA  CHOO CHA MTOTO
Choo cha mtoto kuwa cha kijani kwa mtoto anayenyonya tuu, choo kinapokuwa cha kijani kwa mtoto anayenyonya tuu hii inaonyesha kuwa mtoto hapati maziwa. ya mama katika uwiano sahihi , yaan anapata fore milk kwa wing kuliko hind milk .

Kawaida maziwa ya mama yamegawanyika sehem mbili fore milk haya ni maziwa ya mwanzo ambayo mtoto anaanza kunyonya yana (wanga) carbohydrate kwa wing kwa ajil ya kuupa mwili nguvu na kuna hind milk haya ni maziwa ambayo mtoto huyapata mwisho yana fat nying kwa ajil ya ubongo wa mtoto.

Mama unaponyonyesha mtoto hakikiksha ananyonya titi moja mpaka anashiba usibadil titi  mpaka mtoto atakaposhiba na kuliacha mwenyewe  Titi Jingine utampa akinyonya muda mwingine.

Choo cha kijani inaweza kuwa pia  ni virus infection kwenye utumbo.
Choo cha kijani pia kinaweza kusababishwa na dawa mama unazotumia wakati ananyonyesha.

Mama kula chakula chenye ukijani mwingi kama mbogamboga.

Kuota meno pia huweza kuleta mtoto kupata choo cha kijani

Angalizo mama unapoona mtoto kapata choo cha kijani angalia hali yake pia kama hayupo kawaida mpeleke hospital .

Choo kuwa na rangi ya chokaa hiyo ni dalili ya kuwa na infection kwenye Ini ukiona hivyo mama wahi kituo cha Afya.

Choo kuwa kigumu sana ni dalili ya constipation  mpatie vyakula vya kulainisha choo hasa aliyeanza kula .

Choo cha kijani chenye makamasi au choo chenye makamasi hii ni dalili, ya mtoto kuwa na infection au allergy.

Choo chepesi kama maji ni dalili ya kuharisha kwa mtoto

Share na rafiki asome

No Comments Yet

Leave a Reply

Your email address will not be published.