ORAL TRUSH KWA WATOTO (UTANDO MWEUPE MDOMONI MWA MTOTO)

Oral thrush huu ni ugonjwa unawapata baadhi ya  watoto wachanga sana. Dalili kubwa ya oral thrush ni utando mweupe kwenye ulimi, ndani ya mashavu ,kwenye fizi, na lips za midomo.

Oral thrush zinasababishwa na fungus aina ya candida albicans.
Watoto wapo kwenye risk kubwa ya kupata ya kupata hii infection sababu kinga yao ya mwili haijakomaa vizur kuweza kuhimili infection au magonjwa mbalimbali.

Watoto waliozaliwa kabla ya week ya 37 (Premature)wapo kwenye uwezekano mkubwa pia wa kupata hii oral  trush.
Mtoto anayetumia antibiotic pia yupo kwenye uwezekano mkubwa wa kupata kwani antibiotic hupunguza kias cha health bacteria mwilini na kuruhusu fungus kuongezeka zaidi

Mama anayenyonyesha na akatumia antiobitic hupunguza kias cha bacteria wazur mwilini na kusababisha kupata thrush ambazo huweza kumpata na mtoto. Mama unayenyonyesha pendelea kutumia natural antiobitic zaid

Mama kumuambukiza mtoto wakat anazaliwa kama mama alikuwa na thrush ,hii ni kwawanaojifungua kawaida

NJINS YA KUJUA ORAL THRUSH
Mama unapoona mtoto anautando mdomoni chukua kitambaa safi cha cotton lowanisha maji mfute mtoto. Utando ukitoka ni maziwa yatakuwa usipotoka itakuwa ni oral thrush hivyo ni vizuri kumpleka mtoto hospital apate Antifungal medicine ,mtoto akitumia dawa oral hupotea baada ya siku mbili maranying .
Oral thrush zisipotibiwa mapema huweza kupita kwenye njia ya chakula ya mtoto na kusababisha rashes kwa mtoto hasa sehem za makalio na mapaja.
Watoto wenye oral thrush Mara nying hulia wakati wa kunyoya au kutumia chuchu
Mtoto anapopata oral thrush anaweza muambikiza mama yake na mama kupata Trush kwenye chuchu au ule weusi wa titi.
Dalili za kujua kama umepata Thrush kwa mama anayenyonyesha ni chuchu kubadilika rangi, maumivu makali wakati mtoto ananyonya au akimaliza
Mama pia hutumia cream za anifugal kwa kupaka kila mtoto akimaliza kunyonya na kufuta kila akitaka kunyonya.

Oral trush zinaweza kuzuiliiwa kwa mama kuwa makini na kila anachoweka mtoto mdomoni
Pia mama unayenyonyesha punguza matumiz ya antiobitic

No Comments Yet

Leave a Reply

Your email address will not be published.