CHANGO KWA WATOTO(COLIC)

Chango ni nini? Chango ni ile hali ya mtoto ambaye ana afya na ameshiba  vizuri kulia zaid ya masaa matatu kwa siku, mara tatu au zaid kwa wiki na kulia  kwa muda…

TATIZO LA MAFUA KWA WATOTO NA TIBA ZAKE

Mafua ni ugonjwa ambao huwapata sana watoto wadogo kwani kinga yao ya mwili haijakomaa kiasi cha kuweza kupambana na magonjwa mbalimbali hasa yanayoambukizwa kwa hewa Mama unaweza kufanya (home remedy) zifuatazo  ili…

TABIA /UKUAJI WA WATOTO MWEZI( 0-3)

Tabia za watoto hubadilika badilika kutokana na umri na  njinsi anavyokuwa ,kila mzazi hufurahi kumuona mtoto wake anakuwa vizuri. Leo tuangalia tabia za watoto waliotoka kuzaliwa tuuu (newborn ) ambao hawajafikisha hata…