HOSPITAL BAG KWA MAMA MJAMZITO

Hospital bag kwa mama mjamzito, hili ni bag maalumu kwa ajil ya kwenda nalo hospitalin mara baada ya kupata uchungu au kuona dalili za uchungu .Bag hili huwa na vitu kwa ajil…

MTOTO KUPUNGUA UZITO (UNDER WEIGHT)

Uzito wa mtoto ni mojawapo wa kigezo kinachokusaidia wewe mzazi kujua ukuaji au maendeleo ya mtoto wako.Tatizo la mtoto kupungua uzito huumiza sana wazazi hasa mama , na hujitahidi kufanya kila njia…

VIDONDA KATIKA CHUCHU KWA MAMA ANAYENYONYESHA

  Vidonda katika chuchu ni tatizo ambalo huwapata baadhi ya wamama wanaonyonyesha, kitu kinachosababisha mara nying mama kupata vidonda  ni (position) mbaya au njinsi  mama  unavyomweka au kumshika  mtoto pindi  mtoto anaponyonya.…