TATIZO LA KWIKWI KWA WATOTO

Kati ya maswali nayoulizwa kwa siku hasa na  mama  wapya ni , mwanangu anakwikwi inasababishwana nin? Kwikwi ni kitu cha kawaida kwa watoto hasa  watoto wachanga na watoto walio chini ya mwaka…

DALILI ZA HATARI KWA MAMA MJAMZITO

Ujauzito ni zawadi kubwa sana ambayo Mungu anamjalia mwanamke.Unapokua mzamjito kuna mambo ukiyaona hutakiwi kuzembea unatakiwa uwahi kituo cha Afya .Baadhi ya mambo ambayo mama mjamzito unapoyaona au kuyahis katika mwili wako…

TATIZO LA GAS KWA WATOTO WACHANGA

Tatizo la gas ni tatizo ambalo huwapata watoto wachanga miez mitatu ya mwanzo baada ya kuzaliwa Wataalam wa maswala ya watoto wanasema tatizo la gas huwapata watoto waliochin ya miez mitatu sababu…

Active Mama Unga wa mbegu za Maboga

Faida ya unga wa mbengu za maboga Mbengu za maboga ni nzur kwa afya yako kutokana na faida nying zilizonazo Leo tuangalie baadhi Mbengu za maboga zina kias king cha zinc kuliko…